Carlos Carlinhos


Carlin Hospital amemtoa hofu Nabi kwa kumwambia beki huyo yupo katika ubora hivi sasa na kama akija kuichezea Yanga, basi watakuwa wamefanya usajili bora katika nafasi hiyo.

 

“Kutokana na hali hiyo, sasa ni wazi kuwa kama Mutambala atamaliza tatizo la upande wa kushoto, kwani kocha alikuwa anatamani sana kupata mchezaji mwenye uwezo wa kupanda na kushuka kama ilivyo kwa Djuma na Kibwana,” kilisema chanzo hicho