FUNDI BENNARD MORISSON

Mtoto mmoja aliomba sehem ya Mali kwa baba yake akaenda safari ya mbali kwenda kuitumia bila mafanikio Sasa aliomba kurudi tutamkataa?


Leo tumemtambulisha kwenu mtoto wa nyumbani BENNARD MORISSON Kama mchezaji halali wa yanga  na ataendelea kukiwasha Kama kawaida yetu 

Karibu Sana nyumbani karibu Sana nyumbani Tena karibu sana