Baada ya Safari ya Msimu wa Mashindano wa mwaka 21/22 bodi ya Ligi imetoa orodha ya majina katika vipengele mbalimbali ambao watagombea tuzo zitazotolewa Julai 7 mwaka huu Jijini Dar es Salaam


Nini maoni yako kwa Walioteuliwa Katika Maeneo Mbalimbali?