MGOMBEA Urais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Ally Said amezungumza na wanahabari akielezea malengo na mikakati yake endapo atachaguliwa kuwa Rais wa klabu hiyo.